habari ndugu zangu wapendwa karibuni wosa (world of students association) ni organization ambayo inahusika na mambo makubwa matatu kama ifuatavyo
1.biashara
2.kuwasaidia wanafunzi kwenye changamoto zao za kielimu
3. kuwasaidia wanawake kushika nafasi mbalimbali katika serikali.